array(0) { } Radio Maisha | Safaricom yapata hasara ya bundles
Safaricom yapata hasara ya bundles

Kampuni ya Mawasiliano Safaricom imepata hasara mapema leo baada ya hitilafu za kimitambo zilizosababisha wateja kununua bundles za Platinum Plan nyingi kwa bei ya chini. Aidha, Safaricom imewashauri walionunua bundles hizo kufika katika duka lolote la Safaricom lililo karibu nao.