array(0) { } Radio Maisha | Serikali imewekeza pakubwa katika sekta ya elimu.

Serikali imewekeza pakubwa katika sekta ya elimu.

Serikali imewekeza pakubwa katika sekta ya elimu.

Serikali imewekeza pakubwa katika sekta ya elimu hivyo vijana wanapaswa kujitokeza ili kujiunga na taasisi za mafunzo.

 Akihutubu  katika Shule ya Upili ya Namanjalala Kaunti ya Trans Nzoia, Naibu wa Rais William Ruto amesema serikali imeanzisha ujenzi wa Chuo cha Kiufundi TVET kwenye maeneo bunge eneo hilo ili kuwawezesha vijana kupata mafunzo ya sayansi na teknolojia, vilevile sanaa.

Wakati uo huo, Ruto amewarai wazazi kuhakikisha wanao wanajiunga na vyuo hivyo hasa ikizingatiwa kwamba serikali itawapa ufadhili kwa asilimia thelathini.