array(0) { } Radio Maisha | Serikali yashauriwa kuwakabili wafisadi nchini.

Serikali yashauriwa kuwakabili wafisadi nchini.

Serikali yashauriwa kuwakabili wafisadi nchini.

Serikali imeshauriwa kuwakabili wafisadi nchini ili kuhakikisha fedha zilizoporwa zinarejeshwa ili kuzitumia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Wafanyabiashara mjini Voi kwenye kaunti ya Taita Taveta wamesema hatua ya serikali kuongeza kodi na ada nyingine ni kuwakandamiza Wakenya, huku wafisadi wakiendelea kulipora taifa bila hatua zozote kuchukuliwa dhidi yao.