array(0) { } Radio Maisha | Gideon Moi na Kalonzo Musyoka waongoza hafla ya kuchangisha Fedha Machakos.

Gideon Moi na Kalonzo Musyoka waongoza hafla ya kuchangisha Fedha Machakos.

Gideon Moi na Kalonzo Musyoka waongoza hafla ya kuchangisha Fedha Machakos.

Seneta wa Baringo Gideon Moi na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, wanaongoza hafla ya kuchangisha fedha kwenye Kanisa Katoliki la Muthale Machakos. Mkutano huo pia unahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Ukambani akiwamo aliyekuwa Seneta wa Machakos Johnstone

Viongozi ambao wamezungumza kwenye hafla hiyo akiwamo Mkuu wa Bodi ya Kudhibiti Filamu Ezekiel Mutua , amewahimiza wazazi kuwaelekeza wanao kimaadili ili kuwaandaa kwa maisha ya baadaye. Mutua aidha amewahimiza wazazi pia kuwapeleka watoto shule.

Aidha seneta wa Kituo Enoch Wambua kwa upande wake amesisitiza kuwa  wataendelea kuunga serikali mkono katika vita dhidi ya ufisadi.