array(0) { } Radio Maisha | Kiujuri anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwenye Maadhimisho ya Siku ya Bahari duniani

Kiujuri anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwenye Maadhimisho ya Siku ya Bahari duniani

Kiujuri anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwenye Maadhimisho ya Siku ya Bahari duniani

Waziri wa Kilimo, Mwangi Kiujuri anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwenye Maadhimisho ya Siku ya Bahari duniani World Oceans Day yatakayoandaliwa kwenye ufuo wa bahari wa Pirates Jijini Mombasa hii leo.

Jacqueline Okum ambaye ni Afisa Mkuu wa Utafiti kwenye Tasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Bahari na Uvuvi KMFRI amesema kwamba maadhimisho hayo yatazingatia usafi wa fuo kadha za bahari. Amesema kwamba Tasisi hiyo itajumuika na vijana, kina mama na wanaume ili kuufanikisha usafi huo.

Amedokeza kwamba mbali na Waziri Kiunjuri kuhudhuria maadhimisho hayo, makatibu kwenye Wizara mbalimbali pia wanatarajiwa kuhudhuria.