array(0) { } Radio Maisha | Polisi mjini Homa Bay wanawasaka washukiwa wa mauaji ya Waziri wa Uchukuzi, Philemon Donny Opar usiku wa kuamkia leo

Polisi mjini Homa Bay wanawasaka washukiwa wa mauaji ya Waziri wa Uchukuzi, Philemon Donny Opar usiku wa kuamkia leo

Polisi mjini Homa Bay wanawasaka washukiwa wa mauaji ya Waziri wa Uchukuzi, Philemon Donny Opar usiku wa kuamkia leo

 

Polisi mjini Homa Bay wanawasaka washukiwa wa mauaji ya Waziri wa Uchukuzi, Philemon Donny Opar usiku wa kuamkia leo.

OCPD wa Rachuonyo Kaskazini, Nelson Ojuok amesema Opar aliuliwa katika Mkahawa wa Big Five mjini Kendu-Bay. Inaarifiwa mwendazake aliuliwa wakati alikuwa akiliegesha gari lake karibu na kituo cha mafuta cha Kendu-Bay.

Donny Opar aliteuliwa kushikilia wadhfa huo mnamo mwezi Februari mwaka huu baada ya Gavana Cyprian Awiti kufanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.