array(0) { } Radio Maisha | Zaidi ya asilimia sitini ya waathiriwa wa ajali za barabarani ni vijana

Zaidi ya asilimia sitini ya waathiriwa wa ajali za barabarani ni vijana

Zaidi ya asilimia sitini ya waathiriwa wa ajali za barabarani ni vijana

Zaidi ya asilimia sitini ya waathiriwa wa ajali za barabarani ni vijana.

Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama, NTSA, wanaoathirika na ajali hizo ni wenye umri wa kati ya miaka 16 na 37.

Mmoja wa wakurugenzi wa NTSA Catherine Waweru, ajali hizo zimeendelea kuongezeka licha ya mikakati mbalimbali za serikali ikiwemo kutengewa maeneo ya wapita njia kutumia. Kwa sasa, Mamlaka hiyo imetoa wito kwa wananchi kuzingatia nidhamu na sheria za trafiki wanapotumia barabara.