array(0) { } Radio Maisha | Melon, Sharon na Mevis katika njia panda kuhusu mustakabli kufuatia matokeo ya uchunguzi wa DNA

Melon, Sharon na Mevis katika njia panda kuhusu mustakabli kufuatia matokeo ya uchunguzi wa DNA

Melon, Sharon na Mevis katika njia panda kuhusu mustakabli kufuatia matokeo ya uchunguzi wa DNA

kisa ambacho kimezua gumzo kuu ncini ni cha wasichana ambao ishara zote zinaoesnha kwamba ni pacha licha ya kulelewa na wazazi wawili tofauti tofauti. Melon, Sharon na Mevis wamejipata katika njia panda kuhusu mustakabli kufuatia matokeo ya uchunguzi wa DNA yanayosubiriwa akdhalika upelelezi wa DCI. Mama zao Rosmary Kaheveri na Angelina Obima nao  vilevile wako katika hali iyo hiyo wasifahamu jinsi watakavyoishi.

Ishara zote ni kwamba wazazi waliwalea wano kwa kujituma na kuwapa mapenzi tele ndiposa hakuna anayelalamika kadhalika wote wanaendeleza masomo yao huku Sharon Mathias ambaye amelelewa jijini akiwa mmoja wa viongozi wa wanafunzi shuleni mwake.

Baba zao pia wapo ndani ya kizungumkuti kila mmoja akidai msicahana wa  tatu Mevis Mbaya anafana jamaa zao.