array(0) { } Radio Maisha | Mzazi aishtaki shule ya Wasichana ya Moi Jijini Nairobi.

Mzazi aishtaki shule ya Wasichana ya Moi Jijini Nairobi.

Mzazi aishtaki shule ya Wasichana ya Moi Jijini Nairobi.

Mzazi mmoja ameishtaki shule ya Wasichana  ya Moi Jijini  Nairobi,  kwa kumtimua shuleni mwanawe kutokana na tatizo la kulala mchana  daydreaming. Mzazi huyo amesema mnamo Januari  21, mwaka huu, karani wa shule hiyo alimtimua mwanawe shuleni akimlaumiwa kwa kukosa heshima wakati wa vipindi vya darasa.

Familia hiyo inasema kwamba walimpekea kwenye kituo cha kutoa nasaha , ambapo ilibainika kwamba mwanafunzi  huyo hakuwa na tatizo la kuota mchana ilivyodaiwa na shule hiyo.   Familia yake sasa inatakama mahakama kuiamrisha shuleni hiyo kumruhusu mwanawe aendelee na masomo