array(0) { } Radio Maisha | watu sita watiawa nguvuni na Maafisa wa Kitengo cha Flying Squad.

watu sita watiawa nguvuni na Maafisa wa Kitengo cha Flying Squad.

watu sita watiawa nguvuni na Maafisa wa Kitengo cha Flying Squad.

Maafisa wa Kitengo  cha Flying Squad,  wamewatia nguvuni watu sita na kurejesha  kilogramu 50 ya dhahabu bandia katika soko la Yaya mtaani Kilimani jijini Nairobi.

Haya yanajiri wiki chache tu baada ya dhahabu nyingine bandia kunaswa kwenye makasha katika Benki ya Barclays  Queensway  hapa Jijini Nairobi.  Shilingi  bilioni  2.6 fedha bandia, pia zilinaswa kwenye kasha hilo.