array(0) { } Radio Maisha | Tume ya Kuthibiti Kawi ERC imetangaza kuongezeka kwa bei ya mafuta

Tume ya Kuthibiti Kawi ERC imetangaza kuongezeka kwa bei ya mafuta

Tume ya Kuthibiti Kawi ERC imetangaza kuongezeka kwa bei ya mafuta

Tume ya Kuthibiti Kawi ERC imetangaza kuongezeka kwa bei ya mafuta. Bei ya Petroli imeongezeka kwa shilingi tano na senti ishirini na tano, dizeli kwa shilingi tano na shilingi hamsini na mbili na mafuta taa kwa shilingi mbili na senti sitini na saba.

Taraifa ya ERC inasema bei hizo mpya zinajumuisha asilimia 8 ya kodi kwa bidhaa za mafuta. Aidha kuongezeka kwa bei hizo kumechochewa na gharama ya kuagiza mafuta ghafi kutoka maaifa ya nje.