array(0) { } Radio Maisha | Naibu wa Rais Willia Ruto amjibu Atwoli kuhusu siasa za 2022.

Naibu wa Rais Willia Ruto amjibu Atwoli kuhusu siasa za 2022.

Naibu wa Rais Willia Ruto amjibu Atwoli kuhusu siasa za 2022.

Naibu wa Rais william Ruto amekashifu vikali matamshi ya siku iliyopita ya Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi  COTU Francis Atwoli kwa kudai kuwa kamwe hatakuwa miongoni mwa watakaowania urais mwaka wa 2022.

Akizungumza huko Kakamega mapema leo, Ruto amesema taifa hili linahitaji umoja na maendeleo na wala sio siasa za chuki anazoeneza Atwoli.

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu kwa upande wake ametumia fursa hiyo kumhakikishia Ruto kuwa eneo la kati litaendelea kuunga mkono azma yake ya kuwnaia urais mwaka 2022.

Aliyekuwa Seneta wa Kakamemega Bony Khalwale  amemkosoa Atwoli kwa kueneza siasa za kumdhalilisha .