array(0) { } Radio Maisha | Rais Mstaafu aadhimisha miaka 94
Rais Mstaafu aadhimisha miaka 94
Rais Mstaafu, Daniel Arap Moi, ameadhimisha miaka 94 ya kuzaliwa nyumbani kwake Kabaraka. Familia yake akiwamo Seneta wa Baringo, Gideon Moi, Reverend Roy Stover na  Bill Barnet wamehudhuria.