array(0) { } Radio Maisha | DPP aagiza maafisa 7 wa serikali ya Kaunti ya Homabay wakamatwe

DPP aagiza maafisa 7 wa serikali ya Kaunti ya Homabay wakamatwe

DPP aagiza maafisa 7 wa serikali ya Kaunti ya Homabay wakamatwe

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji ameagiza kukamatwa kwa maafisa saba wa serikali ya Kaunti ya Homabay wanaodaiwa kuhusika katika uisadi. Katika taraifa Haji ameiagiza Tume ya Madaili na Kukabili Ufisadi EACC kuwakamata maafisa hao na kuwawasilisha mahakamani kujibu mashtaka dhidi yao.

Mafaisa hao ni pamoja na amesema uchunguzi umebainisha kuwa maafisa hao Micahel Owino Ooro, Isaac Ouso Nyandege, Judith Akinyi, Otieno Bob, Caroline Sang', Morris Oduwor  na Edwin Omondi.

Agizo la DPP linafuatia ripoti iliyowasilishwa na EACC kuonesha kwmaba fedha za umma zilifunjwa na maafis hao wakati wa mwaka wa kifedha wa 2014/2015 na 2016/2017.