array(0) { } Radio Maisha | Usafiri watatizika JKIA kufuatia hali mbaya ya hali ya anga

Usafiri watatizika JKIA kufuatia hali mbaya ya hali ya anga

Shirika la Ndege la Kenya Airways limelazimika kuzielekeza ndege zake zilizofa akutwaa katika uwnaja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta kufuatia hali mbaya ya hali ya anga. Ndege hizo ni pamoja na KQ311 iliyokuwa ikitoka Dubai na KQ117 iliyokuwa ikitoka Amsterdam. Nyingine ni KQ260 iliyokuwa ikitoka katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ivato, Madagascar na KQ275 iliyokuwa ikitoka Mauritius, mionhoni mwa nyinginezo ikiwamo iliyokuwa ikitoka jijini Accra Ghana.

Ndege hizo zilielekezwa katika uwanja nyingine za ndege ukiwamo ule wa Kimataifa wa Moi mjini Mombasa.

Ikumbukwe Awali Idara ya Utabiri wa hali ya anga ulionywa kuwa kutashughudiwa kipindi cha baridi kali hasa siku za kwanza za mwezi huu wa Agosti.