array(0) { } Radio Maisha | Aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Usambazaji Umeme Kenya Power atachujwa kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma SRC

Aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Usambazaji Umeme Kenya Power atachujwa kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma SRC

Aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Usambazaji Umeme Kenya Power atachujwa kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma SRC

Aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Usambazaji Umeme Kenya Power atachujwa kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma SRC tarehe 23 mwezi huu. Iwapo ataidhinishwa, Chumo atachukua nafasi hiyo iliyokuwa ikishikiliwa na Sarah Serem ambaye muda wake wa kuhudumu ulikamilika Disemba mwaka uliopita.

Karani wa Bunge la Kitaifa Michael Sialai amesema Chumo atachujwa na Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa. Kadhalika amesema tahitajika kubeba stakabadhi zake zote za masomo, ktambulisho na stakabadhi nyingine muhimu.

Vilevile atahitajika kubeba barua au vyeti kutoka kwa idara mbalimbali ikiwamo EACC, KRA, HELB na idara ya Upelelezi DCI