array(0) { } Radio Maisha | Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano CA, imeziagiza kampuni zote za simu kusitisha kwa muda utumiaji wa kadi za simu au kuzifunga kabisa kadi ambazo hazijasiliwa kwenye mitandao yao

Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano CA, imeziagiza kampuni zote za simu kusitisha kwa muda utumiaji wa kadi za simu au kuzifunga kabisa kadi ambazo hazijasiliwa kwenye mitandao yao

Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano CA, imeziagiza kampuni zote za simu kusitisha kwa muda utumiaji wa kadi za simu au kuzifunga kabisa kadi ambazo hazijasiliwa kwenye mitandao yao

Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano CA, imeziagiza kampuni zote za simu kusitisha kwa muda utumiaji wa kadi za simu au kuzifunga kabisa kadi ambazo hazijasiliwa kwenye mitandao yao. Kwa mujibu wa CA, iaddai ya kadi ambazo hazijasajiliwa imeongezeka maradufu licha ya kuwapo kwa sheria inayohitaji wateja wote wa simu za rununu kusajiliwa.  

Mamlaka hiyo imekuwa ikishinikiza sheria hiyo kufuatwa kwani huenda namba za baadhi ya watumiaji wa simu zikatumika kutekeleza uhalifu. Hata hivyo mamlaka hiyo haijatangaza wazi idadi kamili ya kadi ambazo hazijasajiliwa.

Agizo hilo linajiri wakati visa vya ulaghai na utekaji nyara vinavyohusishwa na utumiaji wa simu za rununu vikiendelea kuripotiwa. Usajili wa kadi hizo unapania kuimarisha usalama kwa kuwezesha kupata maelezo ya watuamiaji wa simu ambao wanajihusisha wa visa vya uhalifu.  

Wateja ambao laini zao za simu zitafungwa watakuwa na siku tisini kuzisajili upya, na baada ya kutoa maelezo yanayohitajika kwa kampuni za mawasiliano wanakopata huduma, zitafunguliwa.