Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mtangazaji Mwende Macharia

Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mtangazaji Mwende Macharia

Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mtangazaji Mwende Macharia

Leo tarehe kumi na mbili mwezi Septemba ni siku kubwa na muhimu kwa mtangazaji wa kike wa Konnect show ndani ya Radio Maisha ambaye anafurahia siku yake ya kuzaliwa.

Mwende Macharia amefanikiwa kufanya show yake ya kila siku ya wiki na vile vile kukata keki nadni ya studio live akiwa na mtangazaji mwenza Clemmo 254 pamoja na marafiki kadhaa. Mwende ameonyesha furaha kwani hakujizuia kucheza muziki na kushangilia huku ngoma kali zikiporomoshwa na Dj Immo lakini pia msanii Madini Classic ambaye ametambulisha wimbo wake mpya ‘Nakupendaga’.

Hizi hapa chini baadhi ya picha za matukio kama yalivyokuwa live kwenye birthday party ya queen of airwaves, Esther Mwende Macharia. Keki kwa hisani ya Cookies n Cream.

Na;Mitego.co.ke