Sofapaka na Muhoroni Youth zarejea KPL

Sofapaka na Muhoroni Youth zarejea KPL

Na Andrew Shonko

Sofapaka na Muhoroni Youth wamerejea katika ligi ya KPL. Hii ni baada ya Mahakama kubadilisha uamuzi wa awali wa Shirikisho la Soka Kenya kuwatupa nje baada ya kushindwa kukidhi mahitaji ya kupata leseni  ya vilabu

Mahakama ilisema kwamba FKF haikutumia FIFA mapendekezo kupitishwa kwa makubaliabo hayo.

Hii inamaanisha kwamba waliopandishwa cheo KCB na Vihiga United wanawezakushushwa daraja kucheza ligi ya daraja ya chini Super League.

Muhoroni sasa itapambana na Kariobangi Sharks siku ya Jumamosi Machi 18 huko Muhoroni wakati Sofapaka itakuwa mwenyeji wa Sony Sugar.