Nani atashangazwa kombe la FA

Na Andrew Shonko
Kombe la FA linaingia raundi ya tano ambako mechi kadhaa zikiwa zimeratibiwa kuchezwa. Je Arsenal watashangazwa na Sutton Chelsea ama Manchester united watang’aa ama itakua vipi

Blackburn Rovers watakua ugenini ugani Old Trafford nao Chelsea watamwalika Wolves. Manchester City wataikaribisha Huddersfield Etihad ilhali mabingwa wa EPL msimu uliopita watakua ugenini kupambana na Millwall
Utabiri wako ni upi