× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Gumzo na Mwanaspoti / Episode

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Barbana Korir azungumzia Olimpiki nchini Japan na U20, Kenya

Gumzo na Mwanaspoti | 1 month ago

Mkurugenzi wa Masuala ya Vijana katika AK, Barnaba Korir kwa mara ya kwanza amezungumzia mashindano ya Olimpiki ambayo yalikamilika nchini Japan, vilevile mashindano ya Dunia kwa Wanariadha Chini ya Miaka Ishirini ambayo yalifanyika katika Uwanja wa Kimataifa wa Kasarani, Nairobi. Katika mahojiano ya moja kwa moja, Korir ameweka wazi kwamba hali ilikuwa ngumu katika mashindano ya Olimpiki hasa zaidi baada ya Kenya kupoteza dhahabu katika mbio za mita elfu tatu kuruka viunzi na maji.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism