Home / Swahili / Vijana na Mapenzi / Episode

Katika awamu hii tunaangazia utumiaji wa mitandao katika kuchumbiana. Je, inafaa ama haifai? Vijana wamelizungumzia suala hili katika kipindi hiki vilevile kuna ushauri wa mjuzi wa masuala ya mahusianio, Rachel Mahungu.