× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Uchumi na Biashara / Episode

UCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Biashara ya mipakani; nchi na nchi

Uchumi na Biashara | 1 month ago

Kwa mujibu wa Mwanauchumi Ken Gichinga, usalama wa wafanyabiashara, uhusiano na mataifa mengine hasa mipakani iwapo soko linafunguliwa mpakani, usafi wa eneo, sheria za ulipaji kodi na zile za kudhibiti uingizaji wa bidhaa nchini ni mambo muhimu ya kuzingatiwa. Anasema Wakenya wamechangia kuzorota kwa uchumi kwani wengi huagiza bidhaa kwa bei rahisi kutoka mataifa jirani. Pia anapendekeza kubuniwa kwa sheria za kudhibiti uagizaji wa bidhaa zinazochangia kuharibika kwa soko la bidhaa za humu nchini. Mwanahabari wetu, Esther Kirong' amefanya mahojiano naye.?

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism