× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Uchumi na Biashara / Episode

UCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Bajeti ya 2021/ 2022 ni mzigo kwa Mkenya

Uchumi na Biashara | 1 month ago

Bajeti ya shilingi trilioni 3.6 ni nzuri kwa mwonekano wa nje ila Wakenya watabebeshwa mzigo mkubwa zaidi wa kodi, amesema mwanauchumi Ken Gichinga. Aidha, Gichinga anasema serikali ya Rais Uhuru Kenyatta imefeli kwani miradi inayotengewa fedha za mkopo inazidi kukwama. Vilevile anasema kuongezwa kwa matozo ya kodi kwa bidhaa mbalimbali ni pigo kwa mwananchi. Kulingana na Gichinga, matozo hayo hayatasaidia iwapo serikali itaendeleza hulka za kukopa. Anaishauri serikali kuweka mikakati ya kukabili utumiaji mbaya wa fedha pamoja na wizi wa pesa za umma.?

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism