Sepetuko Podcast; Iwapo uchumi umekua mbona vijana hawapati kazi?

Sepetuko | 5 months ago

Rais amedai uchumi umekuwa ajabu hivi kwamba sasa Kenya ni namba 6 kwa utajiri barani Afrika, lakini mbona uchumi huo umeshindwa kubuni nafasi za kazi. Mojawapo ya dalili za ukuaji wa uchumi ni biashara za watu kupata faida huku watu wa umri wa kufanya kazi wakipata hizo kazi!