Since 1902

Familia zaidi ya alfu kumi zimeathirika pakubwa baada ya makaazi yao kubomolewa katika mtaa wa soweto eneo la kibera. Wengi wa waakazi wanadai kwamba walikuwa wamepewa notisi tatizo lao ni kuwa wakati ubomozi huo ulipoanza kutekeleza hawakupewa ufahamu wa siku au wakati ubomozi huo utakapoanzishwa, hivyo basi huenda wakaazi wengi wamepoteza mali na bidhaa zao.