Kikosi cha wanariadha chipukizi nchini kinapania kutwaa taji la mwaka huu la mbio za nyika

Sports | Monday 20 Mar 2017 9:18 pm

Baada ya kupokonywa nafasi ya kwanza na Ethiopia katika mashindano ya mwaka 2015 yaliyoandaliwa Guiyang nchini Uchina. Kikosi cha wanariadha chipukizi nchini kinapania kutwaa taji la mwaka huu la mbio za nyika. Mbio hizo zitaandaliwa nchini Uganda tarehe 27 mwezi huu.