Bingwa wa ndondi James Onyango amedokeza nia yake ya kutaka kumiliki taji la WBF

KTN Leo | Monday 20 Mar 2017 9:13 pm

Bingwa wa ndondi wa Afrika wa jumuia ya madola katika uzani wa Welterweight  James Onyango amedokeza nia yake ya kutaka kumiliki taji la WBF katika uzani huyo.Onyango antarajiwa kupigana na Meshack Mwankemwa kutoka Tanzania na anavyo ripoti Robinson Okenye , bingwa huyo anatumai kushinda taji la WBC kabla kustaafu.