Gavana Samuel Tunai azindua kampeini ya kuwania kiti hicho tena

KTN Leo | Monday 20 Mar 2017 9:11 pm

Gavana wa Narok Samuel Tunai  hivi leo aliandaa  mkutano wa hadhara  katika uwanja wa michezo wa Narok, kuzindua kampeini za kuwania  kiti hicho kwa muhula wa pili.  Ni taarifa aliyopandaa Jeff Kirui akiwa Narok.