Patrick Ole Ntutu wa Chama cha Mashinani naye aliandaa mkutano huko Suswa sawia na huo, wa kutangaza mwanzo wa kampeini zake za kumng’oa madarakani Gavana Samuel Tunai. Kiongozi wa Chama Cha Mashinani Gavana Isaac Ruto pamoja na viongozi wengine, walihudhuria mkutano huo.