Ukame na njaa Wajir umeleta umaskini utakaosalia kwenye historia

KTN Leo | Monday 20 Mar 2017 9:05 pm

Ukame na njaa  katika  kaunti ya Wajir sasa umeleta umaskini utakaosalia kwenye historia ya kaskazini mashariki ya Kenya. Katika sehemu ya Tarbaj kaunti ya Wajir tayari mifugo kadhaa wamekufa  kwa kukosa nyasi na maji. Hatari hiyo pia inawakodolea macho binadamu.