Rais Uhuru Kenyatta kuzuru eneo la Abagusii kwa nia ya kuendeleza kampeini za Jubilee

KTN Leo | Monday 20 Mar 2017 9:03 pm

Eneo la Abagusii limekuwa kivutio cha kura kwa wagombeaji wakuu wa serikali na upinzani. Hapo kesho Rais Uhuru Kenyatta atazuru eneo hilo kwa nia ya kuendeleza  kampeini za chama cha Kubilee, kwenye  ngome ambayo imekuwa ikiipa Jubilee wasiwasi kuwa ya muungano wa NASA.  Viongozi wa sehemu hiyo walizungumza na mwanahabari wetu Fred Moturi kuhusiana na ziara hiyo.