Rais wa Tanzania-John Pombe Magufuli awaruhusu madkatari wake kutafuta mkate wao wa kila siku nchini

KTN Leo | Saturday 18 Mar 2017 7:53 pm

Katika kile kinacho onekana kuwa njama ya kuwazima madaktari nchini siku chache tu baada ya wao kusitisha mgomo uliochukua zaidi ya  miezi mitatu, Kenya na Tanzania zimefikiana kwenye mpango ambao sasa Kenya itawaajiri madaktari 500 kutoka nchini humo. Rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli aliwaruhusu madkatari wake kutafuta mkate wao wa kila siku nchini Kenya.