Mirindimo: majibizano kati ya rais Uhuru Kenyatta na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho

Dira ya Wiki | Friday 17 Mar 2017 8:52 pm

Katika Mirindimo hii leo tunaangazia majibizano kati ya rais Uhuru Kenyatta na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho. Vivyo hivyo rais Kenyatta na dkt Alfred Mutua walionyesha kuwa magwiji wa ngoma za zilizopendwa. Mhariri wa dira ya wiki Paul Nabiswa anaarifu