Shirika la Malawi yajaribisha hatua ya wafanyikazi wa ndge kutoka mahandisi na marubani kuwa wa kike

Dira ya Wiki | Friday 17 Mar 2017 8:49 pm

Kazi ya urubani na uhandisi wa ndege mara nyingi hufanywa na wanaume. Hata hivyo shirika la ndege la malawi (Malawian Airlines) linataka kubadili kasumba hiyo kwa kuandaa safari ya ndege inayoongozwa na wanawake pekee kutoka Blantyre Malawi hadi Dar es salaam nchini tanzania. Mbona wanafanya hivyo? Rajab Hassan kutoka Dar es salaam analeta habari