Wakaazi wa kijiji cha Mukutani-Baringo wahamishwa kutokana na uvamizi wa kila mara

Dira ya Wiki | Friday 17 Mar 2017 8:45 pm

Wakaazi wa kijiji cha Mukutani kaunti ya Baringo wamehamishwa baada ya uvamizi wa kila mara na watu wanaoaminika kutoka katika jamii jirani. Mwanahabari Victor Ogalle anatuelezea zaidi kutoka mukutani ambapo makabiliano baina ya wavamizi hao na polisi yamekithiriri.