Rais Uhuru Kenyatta ametoa amri kupelekwa kwa maafisa wa jeshi kama maradhi ya utovu wa usalama

Dira ya Wiki | Friday 17 Mar 2017 8:44 pm

Jeshi ndiyo dawa mujarabu ya kutibu maradhi ya utovu wa usalama katika kaunti za Baringo, Elgeyo Marakwet na Laikipia. Rais Uhuru Kenyatta ametoa amri kupelekwa kwa maafisa wa jeshi katika maeneo hayo mara moja kuwakabili wanaosababisha maafa.