Search

KTN Leo  / 3 weeks ago

[VIDEO] Daktari Fred Matiangi adai kuwa siasa imetanda vyuoni


Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma, wameshikilia kwamba kamwe hawatausitisha mgomo wao ambao umeingia siku ya arobaini na moja, hadi serikali itakapozungumza nao kuhusu mkataba wa pamoja kuhusu utendakazi na malipo, cba, wa mwaka 2013 hadi 2017.  Related Videos


Latest Videos