Daktari Fred Matiangi adai kuwa siasa imetanda vyuoni

KTN Leo | Tuesday 28 Feb 2017 8:12 pm

Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma, wameshikilia kwamba kamwe hawatausitisha mgomo wao ambao umeingia siku ya arobaini na moja, hadi serikali itakapozungumza nao kuhusu mkataba wa pamoja kuhusu utendakazi na malipo, cba, wa mwaka 2013 hadi 2017.