Mashindano ya Tae Kwon upande wa kina dada yaandaliwa

KTN Leo | Monday 27 Feb 2017 8:57 pm

Vitengo vitatu vilishuhudiwa katika mashindano ya Tong il moo do, Kick boxing na Tae kwon ndo huku washiriki wakitumia mashindano haya yaliyojulikana kama ‘best of the best kwa msimu mpya wa 2017.Michael Kelly alitwaa ubabe wa kati ya kilo 50-54 katika mchezo wa Tong il moo do huku Bella Kaane alitwaa mojawapo ya matuzo ya Tae kwon ndo upande wa kina dada,