Wahudumu watishia kufunga hifadhi za maiti huko Meru huku mgomo wa madaktari ukiendelea

KTN Leo | Tuesday 21 Feb 2017 7:21 pm

Mgomo wa madaktari umeingia siku ya 79 leo, huku wahudumu wa afya kwenye madaraja 17 mbali na wauguzi na madktari nchini wametishia kukwamisha huduma zao. Haya yanajiri wakati jamaa mmoja aliyekatwa mguu akiachwa bila usaidizi wa huduma za kwanza kaunti ya meru. Wahudumu huko meru pia wametishia kuzifunga hifadhi za maiti.