Mbiu ya KTN: Naibu wa Gavana wa Mombasa Hazel Katana ajiunga na Jubilee

KTN Mbiu | Saturday 28 Jan 2017 4:30 pm

Katika Mkutano wa kina mama wa Jubilee huko Mombasa, naibu wa Gavana wa Mombasa Hazel Katana ajiunga na chama cha Jubilee.