KTN LEO MICHEZO: Timu za Kenya zapata matokeo mseto

KTN Leo | Wednesday 11 Jan 2017 7:43 pm

Kikosi cha kinadada wa timu ya utozaji ushuru nchini Ghana  kinachoshiriki katika michuano ya mpira wa magongo klabu bingwa Afrika, kimeapa kuliibua taji la mwaka huu kando na telecom Orange kupigiwa upatu kuibuka washindi. Hii ni baada timu ya utozaji ushuru nchini Ghana kutwaa ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya wapinzani wao polisi wa Ghana.