KTN LEO: Vyama 15 vyaungana kutengeneza chama cha NASA

KTN Leo | Wednesday 11 Jan 2017 7:24 pm

Vyama vya upinzani vimefanya  mkutano mkubwa katika ukumbi wa Bomas of Kenya hapa jijini Nairobi, kwenye kiashirio kwamba muungano uliobuniwa wa National Super Alliance- NASA- ununuia kuibandua mamlakani serikali ya Jubilee kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi wa Agosti mwaka huu.