KTN LEO: Nelson Marwa awakashifu maafisa wa baraza la jiji la Mombasa

KTN Leo | Wednesday 11 Jan 2017 7:21 pm

Mratibu wa usalama ukanda wa pwani Nelson Marwa amedai kuwa maafisa  wa baraza la jiji la Mombasa  huwawangaisha wakazi kando na kutilia shaka utendakazi wao pamoja na iwapo walipokea mafunzo ya uchukuzi.