Jukwaa la KTN: Shughuli ya kuwahoji makamishina wa IEBC imeanza

Jukwaa la KTN | Tuesday 10 Jan 2017 8:06 pm

Shughuli ya kuwahoji mwenyekiti na makamishna walioteuliwa kuchukua nyadhifa za makamishna wa IEBC wanaoondoka imeanza licha ya pingamizi ambazo zimetolewa hasa na wanasiasa kuhusiana na uteuzi wa makamishna fulani akiwemo mwenyekiti Wafula Chebukati. Leo imekuwa zamu ya Chebukati kuhojiwa na kamati ya bunge kuhusu sheria inayoongozwa na Samuel Chepkonga.