Dira Ya Wiki: Ulimwengu mzima umeadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na ufisadi

Dira ya Wiki | Friday 9 Dec 2016 7:22 pm

Ulimwengu mzima hivi leo umeadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na ufisadi. Humu nchini, vikundi vilikusanyika meaeneo  mbalimbali  ambapo  wanaharakati   wa kupambana na ufisadi  walikemea uovu huo, ambao umeipa kenya sifa mbaya kwa kuortodheshwa ya tatu kote ulimwenguni kwenye visa vya ufisadi