KTN LEO: Rais Uhuru Kenyatta ashutumu upinzani dhidi ya maadai ya ufisadi

KTN Leo | Thursday 8 Dec 2016 7:22 pm

Rais Uhuru Kenyatta ameushtumu upinzani kwa madai kwamba serikali ya Jubilee ina wezi wakubwa wanaoendesha ufisadi serikalini.akizungumza katika eneo la Kapkatembu kaunti ya Nandi ambapo alikuwa anazindua rasmi mradi wa barabara inayounganisha kaunti za Nandi, Kakamega, Uasin Gishu na Kericho, Rais Kenyatta ameitaka Cord kuendeleza siasa za kujenga taifa. Elvis Kosgei na maelezo Zaidi