Search

Sports  / 4 months ago

[VIDEO] Ktn Leo Wikendi: Hellen Obiri ndio mshindi wa mkondo wa kwanza wa mbio za nyika nchini


Katui muia na Hellen Obiri ndio washindi wa mkondo wa kwanza wa mbio za nyika nchini zilizoandaliwa leo mjini Nairobi. Mbio hizo zilijumuisha wanariadha zaidi ya 80. Robisnon Okenye anatuarifu zaidi.Related Videos


Latest Videos