.
27th January, 2021
Watengenezaji wa chanjo ya Johnson & Johnson sasa wanataka kibali ili chanjo hiyo itumiwe kwenye matumizi ya dharura na kupambana na virusi vya korona. Chanjo hiyo ambayo inatofautiana na chanjo zilizopewa kibali kama vile pfizer na biontech haitahitaji mwanadamu apate chanjo mara mbili. hatua hiyo inawadia wakati ambapo virusi vya korona vinazidi kurekodiwa humu nchini na kuyatia wasiwasi mataifa ya nje kutokana na aina mpya ya virusi hivi.